Nataka kujifunza.
Masterclass zilizorekodiwa na jumuiya ya wafanyabiashara kwenye Skool. Jifunze kutumia AI kwenye biashara yako, hatua kwa hatua.
Tazama jumuiya ya SkoolKwa mwenye biashara na timu yake
Tunakujengea mfumo wako ndani ya ChatGPT au Claude. Unautumia kuandaa maudhui, kujibu wateja na kupanga kazi kwa taarifa za biashara yako.
Biashara yako. Taarifa zako. Mfumo wako wa kazi.
Leo nifanye nini kwenye biashara?
Tuanze na kazi tatu rahisi:
Chagua moja tuanze nayo.
Chagua pa kuanzia
Jifunze mwenyewe, tukufungie mfumo,
au tuanze na mahitaji ya kampuni yako.
Masterclass zilizorekodiwa na jumuiya ya wafanyabiashara kwenye Skool. Jifunze kutumia AI kwenye biashara yako, hatua kwa hatua.
Tazama jumuiya ya SkoolTunakuwekea taarifa, mwongozo na utaratibu wa kazi ndani ya ChatGPT au Claude. Tunakuonyesha jinsi ya kuutumia kwenye kazi mliyokubaliana.
Tuanze na kazi moja inayowachosha. Tujue watu wanaoifanya, taarifa wanazohitaji na mfumo utakaowasaidia kufanya kazi pamoja.
Tuzungumze.Kazi na gharama kulingana na mahitaji.
Msaidizi atakuongoza kutuma ombi la miadi.
Mambo ya kujua
Hapana. Unatumia mazungumzo ya kawaida. Wakati wa kufunga mfumo, tunakuonyesha namna ya kuuliza, kukagua na kutumia matokeo.
Akaunti na ada zozote za ChatGPT au Claude ni tofauti. Tunakubaliana chaguo na gharama zinazohitajika kabla ya kuanza. Mfumo hauhitaji ubadilishe akaunti yako ya AI bila sababu.
Ndiyo, kwa mpangilio wa akaunti na ruhusa mliokubaliana. Kwa kampuni, tunaanza kwa kujua mahitaji ya timu. Usishirikishe nenosiri la akaunti yako binafsi.
Utapata msaada wa kuandaa kazi na kufuata utaratibu. Wewe na timu mnakagua na kuamua. Kutuma ujumbe, kuchapisha au kuendesha kazi zenyewe kunahitaji muunganisho na ruhusa maalumu.
Endelea kwenye ChatGPT au Claude uliyosanidiwa. Kama biashara yako inatumia Zillim OS, fungua Zillim OS hapa.
Una biashara.
Sasa iwe na mfumo.